Ninamshukuru Mungu kwa Ajili ya maisha ya Mama yangu hapa Duniani
Ni mwezi sasa tangu Alale Usingizi wa Mauti
Ninakukumbuka sana Msichana wangu Mzuri👩🏾🍼.
Nyakati zote umekua Mama bora, Rafiki Mwema, Mpenzi, Shosti, Prayer partner,Secreto, Msuka mipango, Guider, Mshauri na kila kitu kwangu
NInajivunia wew ninashukuru sana maana umenilisha yale yote Mama mwema angepanda na kufanya kwa Binti yake kipenzi
Ninakuahidi kuwa Imara, Bora, Nitakae timiza ndoto zangu, mwenye Kujari na kupenda wengine, kusimamia yote tuliopanga, nitakua Mama na Dada mzuri kwa hawa vijana ulioniachia
Mchumba wako Yuko salama ila tumekukumbuka sana Kipenzi Chetu
Forever in our Heart Darling ❤️
Tuonane Asubuhi Njema MSICHANA WANGU 💔💔