Leo kwenye kampeni yetu ya Bi. Mdashi, tumeendelea kusherehekea nguvu na mchango wa wanawake katika jamii. Katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, tumepata heshima ya kuwa na Mama wa DJ wa
@manfongo26 ambaye ni
@dj_dullah_neymar
Kupitia mahojiano haya, ametushirikisha mawazo yake kuhusu nafasi ya mwanamke, malezi, na namna wanawake wanavyoweza kusimama imara na kufanikisha ndoto zao na za watoto wao.
@manfongo26
Interview full ipo YouTube SINGELI MEDIA 👈
@vairasmdudutz akikumbukwa na Bi mdashi wa
@dj_dullah_neymar
#sikuyamwanamkeduniani Bi MDASHI #MzaaCHEMA #MwanamkewaDHAHABU