MACHO MEDIA COMPANY

@machomedia

Film Production & Distribution Swahili Tz | Worldwide Vision 📞 +255 716 777 863
Followers
6,476
Following
27
Account Insight
Score
32.88%
Index
Health Rate
%
Users Ratio
240:1
Weeks posts
Je Ni kweli Penye wivu Ndipo kwenye Mapenzi Ya Kweli.? Haya sasa Mzigo Upo Youtube Usisahau Kutoa Maoni Yako Kuhusu Tamthilia Yako Pendwa Ya MANENO YA KUAMBIWA. Bonyeza Link Hapo Juu kwenye Bio Yangu ili Uweze kuangalia Tamthilia Hii, Pia Usisahau KusubScribe Youtube Channel #KitaleMkudeSimba. Cc @mkudesimbaoriginal @stanbakora_ @bekamkudesimba1 @mtawalaofficial @zoyoungmidekitale @kobelo_chapombe
129 4
7 years ago
Maneno Ya Kuambiwa Link on My Bio.
103 3
7 years ago
Ni wakati wako Sasa wakuingia Youtube ili uweze kuangalia Episode Ya 5 & 6 Ambazo Tayari Tumekuekea Muda Huu, Link ipo Hapo Juu kwenye Bio Yangu. Pia kumbuka Ku#Subscribe Youtube Channel Ya #KitaleMkudeSimba. Maoni Yako Usisahau Coz we Still learning on wat we ar doing. NewSeries in Town MANENO YA KUAMBIWA.
97 5
7 years ago
#41 Trending on YouTube. Bofya Link Hapo Juu kwenye Bio Yangu ili uweze Kuangalia Episode Ya 4. Kisha Usisahau Kusubscribe Youtube Channel #KitaleMkudeSimba.
78 2
7 years ago
Ukizungumzia Familia Basi Tambua Kua Huwezi Kumuacha Mwananchi Huyu ambaye anatokea Katika Taifa La MANENO YA KUAMBIWA. Hatuna La Ziada Zaidi Ya Kumuombea Kwa Mwenyezi Mungu ampe uhai Mrefu wenye Baraka Tele ili Tuzidi Kulijenga Taifa Letu. Hakika Tumeweza Sasa, Tumtakie kheir Ya Siku Ya Mfanano wa Kuzaliwa kwake. HAPPY BIRTHDATE Brother @hajiadam Gusa Link on My Bio Kuangalia Tamthilia Ya MANENO YA KUAMBIWA.
146 3
7 years ago
SHOBO DUNDO in YOUTUBE IMEANGALIWA NA WATU MILION 7 LAKI 9 NA USHEHEEE Bado Kidogo inagusa Milion 8. Lakini pia wiki iliyopita tumekuwekea Tamthilia Ya MANENO YA KUAMBIWA YouTube 1,2,3 SOON!! Tunaweka 4,5,6 Baada Ya Hapo Tunaweka tena 7,8,9,10 Kwa sababu Epaode Ni Nyingi Epsode 75 jmn ni lazima Tupange MPangilio Mzr ila Muendelezo 4,5,6 DVD tayari zipo Madukani.
109 1
7 years ago
Una Kipi Cha Kumwambia Leo Mganga Mwinyi Mkuu.??? Maoni Yako Tafadhali. Cc @chilisosy_original
74 8
7 years ago
Shukran kwa Mapokezi Yenu Mazuri.. Toa Maoni Yako Kupitia Ukurasa Huu Husika wa Tamthilia Yako Pendwa Ya "MANENO YA KUAMBIWA"
64 2
7 years ago
Je umeshapata Nakala Yako Original Ya Tamthilia Yako Pendwa Ya MANENO YA KUAMBIWA.? Usisubiri na wala Usisubir na wala Usingoje Kuhadithiwa, Wahi Sasa Madukani Kote Ukapate Kununua DVD yako Ya Tamthilia Hii. Cc @swebbesantana 🔥🔥
44 0
7 years ago
Maneno Ya Kuambiwa ipo Mtaai Kwako Sasa. Jipatie Nakala Yako Halisi Ya Tamthilia Yako Pendwa kutoka kwa Mtunzi wako Mahiri #MusaKitale
95 1
7 years ago
Mzigo Upo Tayari Kwa wale Dar Tukutane Kariakoo, kwa wale wa Mikoani Nenda Duka lolote la DVD za Kibongo. Kama una duka lako ila hujui jins ya kuzipata kwa Bei ya Jumla... Tuwasiliane kwa Namba Hii 👉 0715 248 485
26 0
7 years ago
24/9/2018
42 0
7 years ago