HUYO HUYO NDIO MPENZI WANGU📌
Tunaomba Comment 1000 Tu ….tutoe na Hii mana si wengine atupendi kujiamulia Mambo Bila nyie Wa Tanzania 🇹🇿
Sio Handsome Boy na Hana ela Eti 🤣
Kuna watu wanapenda Kujiamulia Mambo Jamani 🙌🏾 (1k comments and we drop it)
Mke wangu Rawyah @gigy_money_og leo ni siku maalum ya kuadhimisha wanawake wenye thamani kubwa duniani kama wewe ni mama au mwanamke mwenye moyo na upendo, nataka ujue kuwa nakuthamini sana, ahsante kwa upendo wako, uvumilivu wako, na furaha unayoleta kwenye maisha yangu kila siku me nakutakia siku njema ya kina mama iliyojaa furaha, upendo na tabasamu tele tele habibty wangu, Nakupenda sana mke wangu❤️💍
Kwa jinsi tunavyopendana inadhihirisha kabisa dua njema ni nyingi zaidi kushinda mbaya me nakupenda habibty wangu Rawyah @gigy_money_og enjoy mke wangu❤️💕.
tukawa na wanyamwezi wetu @mk_pappy & @iamdrama_boe 💥🙌👊
SHOBO SHOBO NA MUME WANGU MIMI SITAKI 🙌🏾📌😅
Kama kuna kitu anapitia Mume wangu nikunivumilia mimi na Bipolar yangu 😂😅😅 Morogoro we are on the way
Song kichaa by @lickytones
Dress by @posh_trendz
Kuanzia Leo na Kila week ntakuwa nakuletea msanii mmoja Hatari - msanii Ambaye anatakiwa Kuangaliwa Vizuri na kusapotiwa kwa MASLAI YA INDUSTRY YETU ✍🏼
Leo naanza na uyu hapa @lickytones Anajua Sana kuimba uyu ni Msanii aliyekamilika kuanzia uwandishi, melody na vocal ni pure TALENT 🔥🔥
@lickytones Ni msanii mwenye Namba Kubwa Kwenye digital Platforms Lakini azungumziwi sana kwa ukubwa anaostahili✍🏼
NAOMBA WADAU MEDIA NA MASHABIKI KUMSAPOTI UYU KIJANA KWA NGUVU ZOTE KWA SABABU UYU NI FUTURE YA INDUSTRY YA BONGO FLEVA 📌
@gigy_money_og TUNAOMBA UMLEE VIZURI UYU KIJANA INDUSTRY INAMUHITAJI SANA ✍🏼
Watu wangu wa Saudia rabia soon tutakutana huko Inshallah tuje tuimbe wote sitokuwa peke angu ntakuwa mimi pamoja na mke wangu bi Rawyah @gigy_money_og ❤️💍, huko ni mapenzi tooooo👊