Home lello_tzPosts

Fredy Vitalis

@lello_tz

🌱 I can show you to start building Proven global business, by use social media 🤷 HOW ? dm 📥 now
Followers
225
Following
200
Account Insight
Score
19.65%
Index
Health Rate
%
Users Ratio
1:1
Weeks posts
Jana nilipata nafasi ya kuhudhuria uzinduzi rasmi wa Elimika Jiajiri Project 🌱 mradi unaolenga kuwawezesha vijana kupitia maarifa, ujuzi wa vitendo na fursa endelevu za kipato. Kwa kweli nimejifunza jambo moja kubwa, mafanikio ya vijana hayaanzi na mtaji pekee, yanaanzia kwenye maarifa na mindset sahihi 🧠 Vijana wengi tuna ndoto kubwa lakini bila elimu ya kujiajiri, nidhamu ya kazi, uvumilivu na ujasiri wa kuanza, ndoto hizo hubaki kuwa mawazo tu. Miradi kama hii ni daraja la kututoa kwenye kusubiri ajira na kutupeleka kwenye kutengeneza ajira sisi wenyewe.💪 Tukijifunza, tukachukua hatua, na tukatumia fursa tunazopewa, tunaweza kujenga maisha bora na kusaidia wengine pia.👏 #growthmindset #fursa #startbusiness #ujasiriamalitanzania #youthempowerment
24 9
27 days ago
Life can be hard, but Jesus is always Good 😊 #godfirst #beutiful #munguniwetusote #youthleaders #healthlifestyle
11 3
1 month ago
UMEKUWA UKIJIULIZA UTAWEZAJE KUANZA KUFANYA BIASHARA NA KAMPUNI YA FOREVER LIVING PRODUCTS?🌿 Leo nakushirikisha hatua za mwanzo za kuanza safari ya biashara ya kimataifa, kupitia mfumo unaowawezesha watu wengi duniani kujifunza, kukua na kujijenga vizuri kimaisha🌍🚀 Nilianza kufanya biashara hii baada ya kumaliza masomo yangu ya chuo, nakuanza kupata support bure kabisa ya kufundishwa na kuongozwa namna biashara inavyofanyika na kuanza kutengeneza kipato Na kwasasa nimeamua kuifanyia kazi kwa muda wangu wote, kwani nimeona ni fursa kubwa ya ukuaji binafsi Kitu kizuri ni kwamba, unaweza kuifanya kwa muda wa ziada au muda wote, kulingana na ratiba zako, huku ukijifunza hatua kwa hatua💪 Nitumie message "NATAKA KUFANYA BIASHARA NA FOREVER" kwenye DM nikupe maelezo ya awali na mwongozo wa bure, jinsi inavyofanya kazi na namna ambavyo itakunufaisha wewe kama mfanyabiashara /mwanachuo / Mhajiriwa Unayetaka Kuongeza mkondo wa kipato na kutimiza malengo yako. Au nichek Whatsapp Sasaivi kupata maelekezo kwa Haraka: ☎️+255 713 70 1943. (Fredrick Vitalis) #thegrowthempireofficial #fursa #startbusiness #youth #foreverproud
6 0
1 month ago
Growth requires the right environment, the right mentorship, and the willingness to learn. Today I had the opportunity to attend a Growth Masterclass, where we learned how to develop ourselves, grow our businesses, and create bigger opportunities for the future. One thing I truly believe is this: When you start investing in your growth, everything around you begins to change. I'm grateful to be part of a community that focuses on: 🌱Personal development 📈Business growth 🌐Building an extra income stream through social media Many people are looking for a way to earn extra income, grow financially, or start something of their own, but they just don't know where to start. If you are open to learning a modern business model you can do part-time or full-time, feel free to reach out. Send me the word "GROWTH" in my DM or WhatsApp☎️ +255 713 70 1943 And I will share more details👍🚀 Opportunities change lives... the question is, are you ready for growth?✨ #growthmindset #BusinessOpportunity #youthempowerment #socialmediabusiness #thegrowthempireofficial
20 15
1 month ago
On Our Last Team Sizzle, We didn’t Just talk About Growth and Becoming Managers — We saw It, Felt it, and Believed it. We Broke Limits. We Manifested the Next Level. We Stepped into a New Identity. This is more than just a Business… This is Growth, Belief, and Becoming. Manager Level is the Focus. And We’re just Getting Started. If you feel like you’re meant for more… this is your sign. Come Join Our Business Community, 𝗗𝗠 / 𝗖𝗢𝗠𝗠𝗘𝗡𝗧 a Word “𝐂𝐎𝐍𝐍𝐄𝐂𝐓” to book a One on One Meeting with Me!! #thevictorious #thegrowthempireofficial #winners #startbusiness
9 0
1 month ago
🤝Karibu kwenye jamii ya wafanyabiashara wenye malengo! ✨Hapa tunajenga, tunajifunza, na tunakua pamoja. 🎯Lengo letu ni kusaidiana ili kila mmoja aweze kukuza biashara yake na kufikia mafanikio Maadili yetu:🌿 🤝 Umoja 📚 Kujifunza 💪 Kazi kwa Bidii 🎯 Kufikia Malengo Dhamira yetu ni kugusa maisha ya watu wengi zaidi kwa kuwapa fursa, maarifa, na mazingira chanya ya kukua Tunajenga jamii ya watu wenye ndoto kubwa, waliojitolea, na walio tayari kupiga hatua mpya katika maisha yao. Ukurasa huu umeundwa KUHAMASISHA, KUTIA MOTISHA, na KUSHEREHEKEA MAFANIKIO YA JAMII YETU. Ungependa kuwa sehemu ya @thegrowthempireofficial ? Wasiliana nami tuma neno " MAFUNZO " 📥 ili upate maelezo zaidi na uanze safari yako ya mafanikio. #startbusiness #ujasiriamalitanzania #fursa #businessmindset #businessopportunity
11 2
2 months ago
MWILI WAKO UNAONGEA KILA SIKU, JE! UNAUSIKIA? Choo kigumu, gesi, kiungulia, uchovu wa mara kwa mara na ngozi isiyo na muonekano mzuri?✨ Suluhisho lipo Forever Aloe Vera Gel husaidia:👇 ✅Kuboresha mfumo wa mmeng'enyo ✅Kupunguza gesi & acid ✅Kusafisha mwili (detox) ✅Kuimarisha kinga ya mwili ✅Kuboresha afya ya ngozi kwa ndani na nje ✅Gas zinaondoka ✅Changamoto ya ngozi na Nyingine nyingi hii ndio best👍😊 Afya bora inaanzia ndani✨ Usisubiri mpaka mwili uchoke zaidi, CHUKUA HATUA LEO. 📲Njoo WhatsApp sasaivi uagize ALOE VERA GEL yako🌿 ☎️+255 713 701943 🚚 Delivery ipo| Original products 🔥 #healthandbeauty #beutiful #healthlifestyle #afya #foreverproud
8 0
2 months ago
Happy woman's day 🎈🎉 #happywomensday❤️ #wanawake #sikuyawanawakeduniani #mwanamkejasiri #beutful
5 0
2 months ago
Tulipata fursa kubwa ya kujifunza, kukua, na kuhamasishwa na viongozi bora kabisa👏👏 Mazingira yalijaa maono, mwelekeo wazi, na mazungumzo ya kweli kuhusu jinsi ya kujenga kipato cha ziada na kukuza maendeleo binafsi 💪 Nashukuru sana viongozi wetu waliotutolea muda wao kutujenga, pamoja na kila mshiriki aliyejitokeza tayari kuwekeza kwenye maisha yake na biashara yake.🤝 Hivi ndivyo 🫵 unavyoweza pia kujenga fursa ya biashara iliyothibitishwa—kwa kujifunza, kuchukua hatua, na kusonga mbele kwa ushirikiano.👏 Kama uko tayari kukua, kujifunza ujuzi mpya, na kuanzisha kipato cha ziada, nitumie DM neno “START” tuanze safari 👏 #startbusiness #thegrowthempireofficial #biashara #ujasiriamalitanzania #foreverproud
17 4
3 months ago
Jana tulipata nafasi ya kukaa pamoja kama team @thegrowthempireofficial na kufanya Team Kickstart. Haikuwa kukutana tu, bali ilikuwa ni muda wa kujifunza, kujitathmini na kujiweka sawa kama vijana wanaotaka kusonga mbele. Tulijifunza mambo mengi, lakini kubwa zaidi ilikuwa jinsi ya kuweka malengo yenye maana na kuyasimamia mpaka yatimie. Uhalisia ni kwamba wengi wetu tunaanza mwaka na ndoto, lakini wachache huanza na mipango na nidhamu ya kuzitekeleza. #kickstart ya jana imetukumbusha kuwa mwanzo wa mwaka sio wa kutamani mabadiliko, bali ni wa kuamua, kupanga na kuchukua hatua. Kama team, tumejifunza kuwa mafanikio hayaji kwa bahati yanajengwa kwa malengo yaliyo wazi, mshikamano, na uwajibikaji wa kila mmoja. Huu ni mwanzo mpya. Sio wa maneno, bali wa vitendo. Sio wa kuiga wengine, bali wa kusimamia malengo yetu wenyewe.Mwaka umeanza, na sisi tumeamua kuanza tofauti. Huu sio muda wa kucheza na sekunde, Tukutane December 🫵💪 Unaweza kuungana nasi na kuweza kujenga biashara ,kwa muda wako wate au wa ziada tuma ujumbe wako inbox 📥, nitakupa maelezo kamili kuhusu fursa hii 🤝 #BusinessOpportunity #startbusiness #Growth #networkmarketing
17 3
4 months ago
Trust in yourself, believe in yourself, and keep going 💪🙏 Enjoy every bit of it one Day at a time! #praisethelord #enterpreneur #growthmindset🌱 #thegrowthempireofficial #networkmarketing
26 3
4 months ago
Hii ni story ya Kiongozi wetu kwenye biashara aliyeanza safari yake ya biashara akiwa mwanafunzi wa mwaka wa kwanza chuoni. Mwanzoni kulikuwa na hofu, kutokujiamini, na mashaka kama biashara ingewezekana. Lakini baada ya kupata support na mwongozo sahihi, aliamua kujaribu. @igat_didas 👏👏 Kilichofanya safari hii iwe rahisi ni: • Kupatikana kwa support bure kabisa • Mfumo rahisi wa kuanza • Uwezo wa kuanza kwa mtaji mdogo • Biashara inayoweza kufanywa kwa muda wa ziada bila kuathiri ratiba za kila siku Mfumo huu umewezesha watu wengi wanafunzi, wafanyakazi na wajasiriamali kuanza Kufanya Biashara na kupata kipato huku wakiendelea kujifunza na kukua. Kama unatafuta biashara ya kufanya kwa muda wa ziada, ni muhimu kuelewa mfumo unaofanya kazi, unaotoa support, na unaokupa nafasi ya kukua hatua kwa hatua kuelekea malengo yako. 📩 Tuma DM yenye neno “NIPO TAYARI” ili upate maelezo kamili kuhusu mfumo huu wa kufanya biashara kwa muda wa ziada na kutengeneza kipato. #thegrowthempireofficial #startbusiness #foreverproud #youthleaders #fursa
11 3
4 months ago