KAA HUMO - EP 05
Violet Jessop wa Ireland Alikuwa Mfanyakazi (Nesi) wa Meli. Mwaka 1911 Meli ya HMS Hawke Ilizama na Watu 524 Walikufa, Yeye Alipona.
Mwaka 1912 Meli ya Tittanic Ilizama na Watu
1517 Walikufa, Yeye Alipona. Mwaka 1916 Meli ya Britannic Ilizama na Watu 30 Walikufa, Yeye Alipona. Alifariki Mwaka 1971 kwa Ugonjwa wa Moyo.
KAA HUMO - EP 04
Zuchu aliachia wimbo wake unaoitwa BADO NAKUPENDA ambao hadi sasa umejikusanyia watazamaji zaidi ya milioni 4 kwenye mtandao wa YouTube.
Nikiwa napitia pitia miziki ya Mwambao nikakutana na wimbo wa Marehemu Omari Kopa, unaitwa NIFAGILIENI, kwenye baadhi ya sehemu, zikapigwa Melodies ambazo kwa haraka sikio litakusogezea mfanano wa wimbo flani, ambao ni Bado Nakupenda wa Zuchu, tofauti ni tempo tu.
Zuchu alipita na ufundi wa Kaka
KAA HUMO - EP 01
Luciano Re Cecconi, Huyu Alikuwa ni Mchezaji Maarufu wa Timu ya Taifa ya Italia na Klabu ya Lazio. Hii Ndio Simulizi Yake ya Kuhuzunisha Ambapo Mwaka 1977 Akiwa na Miaka 28 Alifariki kwa Kuuwawa Kisa Kikiwa ni
βUtaniβ. Huu Ulikuwa ni Msiba wa Kuhuzunisha
Zaidi Katika Soka la Italia kwa Wakati Huo.
Ladies and gentlemen alhamis hii ya tarehe 09 kwenye Celebrations Za Kim96 Birthday π
Baada ya zoezi la keki mwisho wa siku stage ni halali ya @kontawaa@msakadaily na wasanii wengine Bila kusahau brothes and sisters - DJS and HYPERS π§π€π₯
USIPANGE KUKOSA - PADE
MAPAMBANO Alhamis hii π
Unalijua πππππ ππ πππππππππ Kutoka Kwa @kim96_hyperman ..
Tenga Muda Wako, Vuta Pumzi, Andaa Energy,Weekend Hii Vitu Zitakuwa Mingi SanaaβΊοΈ
πππ ππππ πππππ πππππ πβ