Kilimo cha alizeti ni fursa kwa kuzingatia ongezeko la soko la ndani la mafuta ya kupikia, unaweza kulima alizeti au kusindika, chaguo ni lako, mashamba yapo, ardhi ipo, soko lipo...chukua hatua.
Sea cucumber farming is a great opportunity for people living along the coastal areas. Here, we took photos and produced a documentary video about sea cucumber farming in Pemba.
call us now for detailed pictures and outstanding documentaries
Banio linatumika kuruhusu na kuzuia maji kutokana na matumizi husika, miundombinu ya umwagiliaji inampa uhakika mkulima wa mpunga kupata maji shambani #kilimobiashara #kilimo
Tunapoelekea siku ya Chakula duniani, tunawapongeza wakulima na wadau katika mnyororo wa thamani kwa juhudi nyingi na ufanisi kwa uzalishaji wa chakula nchini#kilimo
Karibu tukutengenezee picha nzuri za bidhaa , bei zetu ni nafuu na ubora wa kazi ni mkubwa sana. Mteja huyu ametengenezewa picha za ukubwa tofauti kuanzia lita 1.4 hadi 5, karibuni..
Matumizi jadidifu ya Nishati ya sola ni muhimu katika nyakati hizi na kupunguza uchafuzi wa mazingira. Tumeweza kutengeneza makala(documentary) nzuri kuonesha mafanikio ya mradi huu katika mikoa mitano. Karibu sana tukutengenezee makala nzuri za binafsi, mradi au taasisi, tupigie 0713588410
Enabling Youth Empowerment in Solar Energy through the Distributed Renewable Energy Ecosystem Model (DREEM) Project
, funded by the C.S. Mott Foundation, which aims to increase the distribution and use of solar energy, especially for productive use in rural Tanzania. We hv documented this project ie. pictures and videos, call us now