Home kideoniPosts

Kideoni

@kideoni

Official Page of Kideoni Where Movie lovers Connect πŸ‘₯🍿 For inquiries : [email protected]
Followers
27.9k
Following
3
Account Insight
Score
38.65%
Index
Health Rate
%
Users Ratio
9317:1
Weeks posts
Finally!!!!! Wapenda Movie tunakutana Tarehe 28 Mwezi wa tano Pale Table 206, The Superdom Masaki kuangalia Madude Makali kwa Kideo BIG SCREEN πŸ“Ί Njoo tuangalie na kuzijadili Movies kwa pamoja na burudani nyingine nyingiiiiiii!!!! Kiingilio ni 30k tu kwa maelezo zaidi ya kupata tiketi Dm me now au njoo Whatsap 0784 199 811 #KideoNaRahul #AmovieNightYouDontWantToMiss
0 57
19 days ago
#MovieTym πŸΏπŸ“Ί ikafika time sasa ya kuenjoy movies kwa Kideo na kuchakata Popcorn mdogo mdogo YOHHH WHAT A CONTROVESY!!! 🀭 NEXT EVENT?! VERY SOON πŸ˜‰
0 4
3 months ago
We Made it Fam #Kideoni πŸ“ΊπŸΏ β–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒ Tumekamilisha ukurasa huu wa Event yangu ya kwanza kwa mwaka huu ambapo pia nilipata nafasi ya kuonesha Tuzo yangu ambayo nimeshinda kama Best Digital Film StoryTeller of Year Suit by @imman_casual Kiatu @dopashoes_dar β–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒ Kideoni ni mtoko wa jioni wa kifilamu ambapo wapenzi wa movie huwa tunakutana kila mwezi kuangalia movie pamoja ikiambatana na burudani mbalimbali (Live Music,Stand Up Comedy, Stage Play etc) β–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒ β–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒ
0 32
3 months ago
Mwamba @djclassic_tz Tuko nae KIDEONI pale Table 206 The Superdom Masaki so Ni Popcorn tu na macho yote mbele Mabibi na Mabwana
607 5
12 hours ago
Matajeer zetu kutoka @dopashoes_dar tajeer wanamiliki tiketi zao za Kideoni kushuhudia Movie kali kwa Big Screen pale @table.206 The Superdom Masaki
0 8
17 hours ago
MZIGO HUU HAPA πŸ“ΊπŸΏ Kutana na Restaurant hii ambayo wahudumu wake wote ni Vipofu na majanga yanatokea pale ambapo mwenzao mmoja anaposhuhudia mauaji na muuaji akawa anamuwinda!!!! β–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒ Wapenda Movie tunakutana Tarehe 28 Mwezi wa tano Pale @table.206 The Superdom Masaki kuangalia Madude Makali kwa Kideo BIG SCREEN πŸ“Ί Njoo tuangalie na kuzijadili Movies kwa pamoja na burudani nyingine nyingiiiiiii!!!! Kiingilio ni 30k Single na 50k kwa Double kwa maelezo zaidi ya kupata tiketi Dm me now au njoo Whatsap 0784 199 811 #KideoNaRahul #AmovieNightYouDontWantToMiss β–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒ Kideoni : A SCREAM/MURDER IN THE DARK (2026) Bonge Moja Mzigo πŸ”₯🍿 πŸŽ₯πŸ“Έ @ibrah_icon @metroz_moviestore & @kideoni Cc @imman_casual KWA SUTI KALI HADHI YA PLATNUM WACHEK HAWA WAMBA β–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒ β–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒ
4,063 224
20 hours ago
KIDEONI IS TYPING..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ @amrahuul_ NIMEKOSEA KUTOA DIRECTION? #wizzjunior #facebookviral #comedyreels #comedy #chekaplusapp
91 13
1 day ago
Nilirudi tena Cinema na round hii Focus yangu ilikuwa kwa baba wa MICHAEL JACKSON Mzee Joseph, Yes anaonekana mtu mbaya kwa walio wengi ikiweno Michael mwenyewe ila mimi naona mdingi alikuwa na mchango mkubwa kwake.. WE UNAONAJE!!! β–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒ Wapenda Movie tunakutana Tarehe 28 Mwezi wa tano Pale @table.206 The Superdom Masaki kuangalia Madude Makali kwa Kideo BIG SCREEN πŸ“Ί Njoo tuangalie na kuzijadili Movies kwa pamoja na burudani nyingine nyingiiiiiii!!!! Kiingilio ni 30k Single na 50k kwa Double kwa maelezo zaidi ya kupata tiketi Dm me now au njoo Whatsap 0784 199 811 #KideoNaRahul #AmovieNightYouDontWantToMiss β–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒ Kideoni : MICHAEL (2026) Bonge Moja Mzigo πŸ”₯🍿 πŸŽ₯πŸ“Έ @ibrah_icon @metroz_moviestore & @kideoni Cc @imman_casual KWA SUTI KALI HADHI YA PLATNUM WACHEK HAWA WAMBA β–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒ β–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒ
2,221 87
1 day ago
Tiketi imemfikia Tajeer yetu @sam_misifa na amechagua kuwa Kideoni Sikukuu hii ya Eid May 28 Table 2026 The Superdom Masaki
0 4
1 day ago
Unasema umewahi kuumia? Hebu Mfikirie Hans (Kanumba) ambaye moyo wake aliuweka rehani kwa Binti mrembo Johari na kama unavyoona hapo goma limeenda kwa Jack (Ray Kigosi)
2,314 80
2 days ago
MZIGO HUU HAPA πŸ“ΊπŸΏ Safari ya kumsafirisha Shahidi huyu ambaye alibeba hatima ya Mhalifu nguli nchini humo inaingia Dosari baada ya Convoy yao kutekwa !!! β–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒ Wapenda Movie tunakutana Tarehe 28 Mwezi wa tano Pale @table.206 The Superdom Masaki kuangalia Madude Makali kwa Kideo BIG SCREEN πŸ“Ί Njoo tuangalie na kuzijadili Movies kwa pamoja na burudani nyingine nyingiiiiiii!!!! Kiingilio ni 30k Single na 50k kwa Double kwa maelezo zaidi ya kupata tiketi Dm me now au njoo Whatsap 0784 199 811 #KideoNaRahul #AmovieNightYouDontWantToMiss β–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒ Kideoni : PRISONER (2026) Bonge Moja Mzigo πŸ”₯🍿 πŸŽ₯πŸ“Έ @ibrah_icon @metroz_moviestore & @kideoni Cc @imman_casual KWA SUTI KALI HADHI YA PLATNUM WACHEK HAWA WAMBA β–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒ β–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒ
3,305 199
2 days ago
HAYA COUPLES MPO?!! Mtag My wako then follow @sparkle_fifi na Tjketi ni yenu watu wangu tunakutana #Kideoni kuangalia Movies pale Table 206, The Superdom Masaki β–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒ Wapenda Movie tunakutana Tarehe 28 Mwezi wa tano Pale @table.206 The Superdom Masaki kuangalia Madude Makali kwa Kideo BIG SCREEN πŸ“Ί Njoo tuangalie na kuzijadili Movies kwa pamoja na burudani nyingine nyingiiiiiii!!!! Kiingilio ni 30k Single na 50k kwa Double kwa maelezo zaidi ya kupata tiketi Dm me now au njoo Whatsap 0784 199 811 #KideoNaRahul #AmovieNightYouDontWantToMiss β–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒ Cc @sparkle_fifi β–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒ β–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒ
488 85
3 days ago