K4s Security Group

@k4ssecurity

Your Trusted Security Partner CALL US: ☎️ 0767 622226, 0757 366662
Followers
67.2k
Following
175
Account Insight
Score
62.11%
Index
Health Rate
%
Users Ratio
384:1
Weeks posts
🏆 K4S Security tunajivunia kushinda tuzo ya Best Event Security & Bouncers 2026 kutoka Tanzania Event Planners Awards 2026. Asanteni kwa kutuamini — ushindi huu ni wetu sote. Tunaendelea kutoa huduma bora kwa weledi na uaminifu. 💙✨
36 1
4 days ago
Leo tunawaenzi wanawake wenye nguvu, upendo na ulinzi wa kweli katika familia na jamii. 🌸 K4S Security tunawatakia akina mama wote siku njema ya Mother’s Day. Asanteni kwa kuwa walinzi wa kwanza wa maisha yetu. 💙 #MothersDay #K4SSecurity #OurFirstProtector
25 1
6 days ago
FURSA YA AJIRA ZANZIBAR K4S Security inatangaza nafasi 10 za kazi kwa ajili ya SECURITY SUPERVISOR (Msimamizi wa Ulinzi) katika ofisi yetu ya Zanzibar. 📋 Vigezo Vinavyohitajika: 🔹 Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea. 🔹 Mafunzo ya JKT / JKU / Mgambo / KVZ. 🔹 Uwezo mzuri wa kuongea Kiingereza. 🔹 Uzoefu wa miaka 3 katika usimamizi wa Askari. 🔹 Kuwa na Leseni ya Udereva. 🗓️ Mwisho wa kutuma maombi: 12/05/2026 📍 Jinsi ya Kutuma Maombi: Tuma maombi yako kwa njia ya barua ofisini kwetu JANG’OMBE, au tumia anwani ifuatayo: Meneja Mkuu, K4S Security Company, S.L.P 75575 Jango’ombe Mwembemadafu, Zanzibar. 📞 Kwa mawasiliano na msaada zaidi: Zanzibar: 0652 406 223 🌐 www.k4ssecurity.co.tz
56 0
8 days ago
Hakika pamoja na uzito upo wepesi.” — Qur’an 94:6 Ijumaa Kareem 🤍
54 0
8 days ago
Usalama wa kiwango cha juu, timu yenye uhakika muda wote. 💪🛡️ #K4SSecurity
94 1
9 days ago
Today we honor our CEO, Mohamed Soloka (@mohd_soloka ), as we celebrate his birthday and his commitment to inspiring impact. The entire team at K4S Security wishes you a fantastic day and a prosperous year ahead. #K4SSecurity #Leadership #CEO #HappyBirthday #VisionaryLeader DarEsSalaam
72 3
14 days ago
Usalama wa uhakika na umaridadi wa kiwango cha juu Timu nzima ya K4S Security tukiwa kazini kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa. Kuanzia ulinzi madhubuti, huduma za mapokezi zenye tabasamu (Ushers), hadi mpangilio mzuri wa itifaki (Protocol), tunahakikisha tukio lako linakuwa la kihistoria na lenye hadhi. 📍The Super Dome TZ. Tunajivunia kuwa sehemu ya kufanikisha matukio makubwa. Je, unapanga tukio hivi karibuni? Tuachie jukumu la usalama na mpangilio wageni. #K4SSecurity #UsalamaWakoKipaumbeleChetu #TheSuperDomeTZ #UshersTZ #vunjabeibet
0 4
15 days ago
Heri ya Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) kutoka K4S Security Tunatambua na kuthamini mchango mkubwa wa wafanyakazi wote, hasa kikosi chetu shupavu kinachohakikisha usalama wako usiku na mchana. Usalama wako ni kipaumbele chetu namba moja, leo na kila siku.
23 0
15 days ago
Katika uzinduzi wa Vunjabei Bet, tulihakikisha usalama, protocol na mapokezi yanaenda kwa weledi na mpangilio bora. K4S Security -tukio salama, huduma ya uhakika.
21 0
16 days ago
Katika uzinduzi wa Vunjabei Bet, tulihakikisha usalama, protocol na huduma za ushers zinaenda kwa weledi, mpangilio na ukarimu wa hali ya juu. Tunajivunia kuwa sehemu ya tukio hili muhimu, tukihakikisha wageni na washiriki wote wanapata huduma bora kuanzia mwanzo hadi mwisho. K4S Security - usalama, protocol na huduma bora kwa kila tukio.
35 1
16 days ago
@k4ssecurity @missgrandtanzania_2025_2026 #missgrandtanzania2026 #roadtogreatness
18.3k 544
19 days ago
Urembo ukikutana na ulinzi madhubuti. Muonekano wa kipekee na wa kishindo wa Prisca Lymo akiwasili Miss Grand Tanzania. Akisindikizwa na kikosi cha K4S Security, hadhi na usalama viko katika ubora wake. #MissGrandTanzania2026”
2,790 64
20 days ago