Home janjeezyPosts

𝗧𝗔𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗧𝗔𝗔

@janjeezy

πŸŽ™πŒπžππ’πš 𝐏𝐞𝐫𝐬𝐨𝐧𝐚π₯𝐒𝐭𝐲 πŸ“· π‚π¨π§π­πžπ§π­ π‚π«πžπšπ­π¨π« βŒšοΈπ–π¨π«π€ 𝐖𝐒𝐭𝐑 @manaratv__
Followers
63.0k
Following
945
Account Insight
Score
61.86%
Index
Health Rate
%
Users Ratio
67:1
Weeks posts
Tafuta Pesa, Pendeza, Ishi Maisha YakoπŸ“Œ
0 26
8 months ago
Big Boss @hajismanara πŸ•πŸ•
0 19
2 years ago
@diamondplatnumz afunguka baada ya kukaribishwa @yangasc πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ«‘ β˜†β˜†β–ͺ︎β–ͺοΈŽβ˜†β˜† . . . #Janjeezy #JanjeezyInterviews #Jeezy #Mungu #SwahiliNationBoy #SwahiliNation #AfricaIsWatchingΒ  #TaaYaMtaa #TzAmaizingTime #trend #ChembaYaBurudani #KilaStageDua #BodaBoda #AboyFromAnotherPlanet #JanjeezyTvΒ  #ManaraHour #ManaraTv #BodaBodaWithJanjeezy #Entertainment #ManaraTvUpdate #TrendingZaKibabe #BodaBodaWithJanjeezy #GainWithJanjeezy #Burudani #WatotoWadogoWananiitaBaba
675 57
2 years ago
Ukitaka video kama hii lets do thisπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ #viral #funny #kaluputics
0 40
8 days ago
Naitwa Selemani Gomez Penati Boy😎
0 10
17 days ago
Kuna sehemu nimesoma wanasema ukioa mke zaidi ya mmoja unaishi miaka mingi😁 Wataalamu wa mambo kuna ukweli wowote juu ya hili?
0 8
25 days ago
Boda Boda wa Kigamboni leo wamepata bahati ya kuipokea Pasaka kwa kujaziwa mafuta "Full Tank" kutoka kwa @mrshitcoin_backup hii ikiwa ni zawadi ya Pasaka, Ikumbukwe kwa sasa mafuta yamepanda bei hivyo ukipata nafasi ya kujaziwa mafuta inakuwa nzuri zaidi. Vipi boda boda wa sehemu nyengine Pasaka mmeipokeaje? 🎀 @janjeezy πŸ“½ @lovedisaster_podcast #ManaraTV #ManaraTVUpdates
2,467 42
1 month ago
Je na wewe unaungana na @___sarz__ na @queen_luly122 Eid ilipita bila zawadi? Walikosa zaidi ila @j5_lingerie wamewapatia zawadi, pita na wewe kwenye maduka yao ujipatie zawadi. 🎀 @janjeezy πŸ“½ @lovedisaster_podcast #ManaraTV #ManaraTVUpdates
426 13
1 month ago
Densa wa Mbosso @c.sembo12 ameweka wazi licha ya mvua kunyesha kabla ya kupanda kwenye jukwaa la Kilimarathon 2026 ila kwao haikuwa sababu ya wao kutokuendelea na show kwani wanapokuwa jukwaani hata kama mvua inanyesha ila kwao ni kama hamna mvua. Amepata zawadi ya "vest" kutoka kwa @j5_lingerie unaweza kuwatafuta kwaajili ya kujipatia nguo za ndani zenye ubora zaidi. 🎀 @janjeezy πŸ“½ @lovedisaster_podcast #ManaraTV #ManaraTVUpdates
744 6
1 month ago
@dj_trigger_pappy na @ms_tresher wote ni madensa na ni wapenzi kwa takribani miaka mitatu sasa, vipi kwa upande wako unaweza kuwa na mpenzi unaefanyanae kazi sehemu moja? Wamepata zawadi ya "vest" na "night dress" kutoka kwa @j5_lingerie unaweza kuwatafuta kwaajili ya kujipatia nguo za ndani zenye ubora zaidi. 🎀 @janjeezy πŸ“½ @lovedisaster_podcast #ManaraTV #ManaraTVUpdates
4,553 34
1 month ago
@queen_fraison ameweka wazi akiwa kwenye steji na @mbosso_ huwa anainjoy zaidi tofauti na Wasanii wengine. Unahisi ni kwanini? Amejipatia zawadi ya "night dress" kutoka kwa @j5_lingerie unaweza kuwatafuta kwaajili ya kujipatia nguo za ndani zenye ubora zaudi. 🎀 @janjeezy πŸ“½ @lovedisaster_podcast #ManaraTV #ManaraTVUpdates
2,893 13
1 month ago
Kilimarathon ya mwaka huu ukichanganya na hii Eid hapa Moshi ni kama CaliforniaπŸ™ŒπŸ™Œ Home sweet homeπŸ“Œ
0 8
1 month ago