#2022 nime husika kwenye harakati ya ku waburudisha ma milioni ya watanzania na dunia nzima kupitia album ya my brother toto baddie #mario_tz
@marioo_tz kwenye album ya #thekidyouknow🤴 songs nilizo piga🎸🎸
Songs; amawele,lonely na siwezi na tarehe 28 mwezi huu pale mliman city tuna kiwasha so usipange kukosa.