๐จ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐ฅ๐๐พ๐บ๐พ
Kama umekuwa ukiona movement ya hii challenge ya โAYEโ ya kwake dada angu @officialzuchu kila sehemuโฆ basi muda umefika wa kujifunza official MATUA STYLE ๐ค๐ฅ
ATAKUWEPO: @hyper_boe
Tunashuka mtaani kufanya class LIVE โ
kujifunza choreography, vibes na energy yote ya hii #ayechallenge movement ๐
Hii sio dance class ya kawaida ๐ฎโ๐จ
Ni nafasi ya:
๐คkukutana na dancers wengine
๐ฅ kushoot contents pamoja
๐ฅ kuingia kwenye challenge movement
๐บ๐na kuonyesha unyama wako kwenye dance floor ๐ค๐ฃ
๐ MAGOMENI KAGERA โ Uwanja wa Gombelo
๐ Jumamosi, 16 Mei
โฐ Saa 8 Mchana hadi Saa 12 Jioni
Njoo na crew yako ๐ฅ
Njoo na energy yako ๐ฅ
Njoo TUUE hii challenge ๐ค๐