𝐌𝐢𝐧𝐢𝐬𝐭𝐞𝐫 𝐂𝐮𝐭𝐡𝐛𝐞𝐫𝐭

@hypecella

𝑨 𝒑𝒓𝒐𝒅𝒖𝒄𝒕 𝒐𝒇 𝑪𝒉𝒓𝒊𝒔𝒕. 𝑲𝒊𝒏𝒈𝒅𝒐𝒎𝑴𝒐𝒗𝒆𝒓. Backed by God.🔥🙏
Followers
4,120
Following
909
Account Insight
Score
31.1%
Index
Health Rate
%
Users Ratio
5:1
Weeks posts
Anaitwa @hypecella ni gospel hyper kutoka @highlands255 morogoro ni Mtumishi wa MUNGU Mwenye Msukumo Mkubwa sana Kwa kizazi hiki cha GenZ Yaani ni Moto wa Injili kwa kizazi cha Gen Z 🔥 - @hypecella Amekuwa akihudumu kwenye Ibada Mbalimbali Za @highlands255 . “Mungu aendelee kuitumia huduma hii ya @highlands255 kwa utukufu wake 🙌 -🔥Gen Z Gospel Hyper (Hype-Cella) Kutoka Highlands 255 Huduma inayogusa kizazi cha sasa 🙏 - QN: Kama Umebarikiwa na Huduma yake Kwa Mwaka 2025 Tamka Neno la Baraka kwake kupitia @gospel_chambertz . - #GospelMusic #highlands255morogoro #LetServeGod #gospelhyper
251 37
4 months ago
Kuna MAJIRA yanaitwa “GLORIOUS MOMENT”, yaani ni kipindi ambacho unakuwa uko Kwenye kilele cha KIPAJI, NAFASI, MAMLAKA, FEDHA n.k Kipindi hiki kinaweza kukusahaulisha UMUHIMU wa KUJENGA watu na KUINUA watu wengine. Utajidanganya kuwa UNAJITOSHELEZA.Matokeo yake utayaona siku MAJIRA YATAKAPOBADILIKA. Moja ya uwekezaji mkubwa Kwenye MAJIRA haya ni KUINUA WATU wengi na kutenda MEMA ZAIDI. Kuna siku HAUTAKUWEPO HAPO,watu uliowainua ndio watakuwa Baraka yako. Usisahau kila ULIPO Leo Kuna MTU ALIKUWEPO, na kuna siku UTAONDOKA na ATAKUJA MWINGINE. Jiwekee AKIBA ya BAADAYE. See You At The Top 2025 Here We Go #god
0 13
1 year ago
True Kingdom work is not about building ourselves it is about building others for the glory of God. Every word of encouragement, every act of love, and every sacrifice in serving can become a reason for someone to grow closer to Jesus. Keep lifting others, because when people are strengthened in God, the Kingdom is glorified. 🤍✨ “Encourage one another and build each other up.” — 1 Thessalonians 5:11 @theplaylistnaablenty
0 8
1 day ago
EasyPeace ✨🙏
65 5
3 days ago
SWITCH... Dar & Iringa Unicampers #Switchh255 #broken #restore #fyp #instagram rawlingsfoundation connectingyouthoftanzania🇹🇿
204 36
1 month ago
SWITCH... #Switchh255 #broken #restore #fyp #instagram rawlingsfoundation connectingyouthoftanzania🇹🇿
121 18
1 month ago
Kuna watu wanatembea duniani lakini nyayo zao si zao. Kuna maneno yanatoka midomoni mwao, lakini chanzo chake si akili zao. Wamevaa maisha ya kawaida, ila ndani yao kuna agizo lisilo la kawaida. Wanacheka kama wengine, wanalia kama wengine… lakini hukumu yao haijatoka kwa wanadamu. Hawa hawajaitwa kuishi tu wamewekwa kusimama kwa niaba ya mwingine. Mahali wanapokaa, sauti nyingine huzungumza. Mahali wanapopita, ufalme mwingine hujidhihirisha. Hawapigani kwa nguvu zao, wala hawasemi kwa hekima yao… Lakini kila wanaponyamaza, mbingu hunong’ona kupitia wao. Kama unaelewa, basi ujue hii si safari ya jina lako, bali ya Ujumbe uliowekwa ndani yako. Sisi hatujaitwa kuwa watu wa kawaida… tumewekwa kuwa sauti za Mfalme. 🕊️ Shout Out Kwa MOG’s @ablenty_sadock @tridlap @theplaylistnaablenty @its_yuzzoh
0 15
1 month ago
Bigman ✨ . . . . . Cc @hypecella 📸 @mmphotography_255 #dj #hype #gospel #theplaylistnaablentywithfriends
129 22
1 month ago
FULL EPISODE ON YOUTUBE #picture by @mmphotography_255 #art by @inesgrace_sam
0 2
1 month ago
Kama bado hujatazama kipindi cha jana tafadhali wahi chapu YOUTUBE🔥🔥🔥🔥 Thank you so much @hypecella your the best brother🫡 #ThePLAYLISTnaAblenty #withfriends #hype #gospelmusic #highlight @tripodcreative_ Please follow @theplaylistnaablenty
0 11
1 month ago
Muda mchache sana tunaanza na leo sio ya kukosa TUKO LIVE INSTAGRAM NA YOUTUBE
0 22
1 month ago
Yoooooh time to party Monday again lets come together Enjoy the vibe and make Jesus Famous #ThePLAYLISTnaAblenty #withfriends And a friend we have today is @hypecella
0 3
1 month ago