Karibuni sana wateja wangu, dagaa mchambuko wako wa kutosha, hakika hawa dagaa ni watamu sana. Dagaa ni mboga na dagaa ni dawa wapenzi, karibu nikuhudumie kuanzia pacage ya elfu 5 mpaka sado elfu 25. Na samaki aina ya vibambala fresh kabisa kutokea mwanza. Kwa Dar tunafanya delivery na watu wa Arusha pia tunafanya delivery, ila mikoa mingine tunatuma kwa uaminifu mkubwa na usafi wa hali ya juu sana. Kwa mawasiliano tumpigie / whatsapp kwa namba 0762874848 /0693075959.
Karibuni sana tunawapenda.