Kamati ya Maboresho ya Kanuni inayoundwa na Sekretarieti ya TFF na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Leo Mei 14, 2026 imekutana na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kupokea maoni na ushauri kuhusu maboresho ya kanuni mbalimbali zinazosimamia uendeshaji wa Ligi.
@tanfootball@ligikuu@nbc_tanzania@azamtvsports@tbc_online@justfitsportsgear