๐งด๐ง VITOL
๐Cetrimide3%,
๐Chlorhexidine Gluconate 0.3%,
๐Ethyl alcohol as preservative 8.5% Disinfectant & Antiseptic VITOL ni ulinzi bora dhidi ya maambukizi. Huzuia maambukizi kwa kuua 99.9% ya vijidudu hatari โ bakteria, virusi, fangasi na spores.
Inafaa kwa ๐ฎ
โ Matibabu ya nje dhidi ya michubuko na vidonda vidogo.
โ Kutakasa mikono baada ya kushika uchafu
โ Inaweza kutumika kwenye mabanda ya mifugo, hospitali za binadamu na wanyama kusafishia sakafu na masinki.
Tumia ๐งด VITOL
๐น Kwa matokeo bora na ya haraka,
๐น Ni Salama,
๐น Inayoaminika na wataalamu wa afya ya binadamu na mifugo,
๐นHarufu nzuri ya kuvutia.
Jinsi ya kutumia Vitol ๐งด
๐ฉน๐ฅ Kwa vidonda na michubuko midogo na kutakasa mikono - 50ml kwa 1L ya maji kisha osha jeraha lako taratibu.
๐จ๐ Kwa kutakasa sakafu za mabanda ya mifugo, hospitali, na majumbani tumia 100ml kwa 1.5L za maji safi kisha nyunyiza, acha kwa dakika 3 mpka 5 kisha futa/safisha.
๐ Inapatikana katika maduka ya mifugo na pharmacy iliyo karibu nawe.
๐ Wasiliana
*BodaLine*
Sumu bora ya mende ya kuchora, yenye nguvu mara mbili ๐ช kutoka kampuni ya *Farmbase sasa inapatikana ๐ *BodaLine* ni angamizo la mende la uhakika โ
Usiseme dawa ya mende ya kuchora, sema *BodaLine*
#farmbase #bodaline
Farmbase Limited, The Quality You Trust.๐ฅ
AZOKICK 325 SC, SUPACLOP 200SL na DARSFARM
Swali
Hello doctor nina changamoto ya mstafeli wangu matunda yanakuwa na weusi alafu yanakauka na kuoza. Jibu
Mastafeli yake yamepatwa na magonjwa ya kuvu(fangasi) ambayo ni chule na ukungu mweusi . Lakini hii yote inatokana na uharibifu wa wadudu aina ya inzi wa matunda, na siafu kipindi cha uzalishaji wa maua na matunda.
Nashauri aweze kutumia 1.Azockik 325 SC kwa ajili ya kuondoa changamoto za kuoza na kuharibika shambani, pamoja na ukungu kusafisha ukungu mweusi.
2. Matumizi ya Viuadudu kama SUPACLOP 200sL , au Darsfarm Kwa kipindi Cha uzalishaji wa matunda Ili kuondoa athari mbalimbali za wadudu wanaoshambulia maua na matunda.
3. Matumizi ya mitego ya inzi wa matunda
4. Usafi wa shamba(kuondoa matunda yote yaliyopatwa na changamoto hiyo na kuyaondoa shambani Ili kutoruhusu maotea ya fangasi na kusambaa shambani.
5. Kupruniii matawiii yenye kiza na yenye magonjwa Ili kuleta mwanga na hewa kupita vizuri kwenye miti na matunda.
Farmbase Limited, The Quality You Can Trust ๐
๐ฑ ASANTENI KWA KUHUDHURIA SEMINA YETU ๐๐
Wakurugenzi na Uongozi wa Farmers Center Limited na Farmbase Limited tunapenda kutoa shukrani za dhati kwa wakulima na wafugaji wote mliohudhuria semina yetu. Ushiriki wenu umeifanya semina kuwa yenye mafanikio makubwa.
Tumefurahi kuona mlijifunza, mkashirikiana, na kufurahia maarifa kuhusu afya na tiba za mifugo pamoja na ulinzi wa mimea.
๐ค Tunaamini elimu mliyopata itawasaidia kuboresha uzalishaji na kuongeza kipato chenu na Taifa kwa ujumla.
๐ Tunawatakia kila la kheri katika shughuli zenu za kilimo na ufugaji, mavuno mengi na mifugo yenye afya bora!
Karibuni tena kwenye Semina zetu zijazo.
Farmbase Limited โ The Quality You Can Trust ๐
Katika Semina ya Wakulima na Wafugaji iliyofanyika Mei 1, 2026 katika ukumbi wa DYCCC, jijini Dar es Salaam, mgeni rasmi alikuwa Dr. Benedict Lutege โ Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo.
Akihutubia washiriki, alisisitiza kauli mbiu ya mwaka huu: โKilimo na Ufugaji ni Biashara Inayoweza Kuongeza Kipato Chako.โ
Tukio hili liliandaliwa kwa ushirikiano wa Farmers Center Limited na Farmbase Limited, likiwa jukwaa la elimu, mshikamano na fursa kwa wakulima na wafugaji wa Tanzania.
#HabariPicha #FarmbaseLimited #FarmersCenterLimited #Semina2026 #KilimoNaUfugaji TanzaniaAgriculture
Mr. Mohamed Abdulqadir Msaidizi wa Mkurugenzi wa Farmbase limited, Akifanyiwa mahojiano na moja kati vyombo vya Habari kwenye Semina ya Wafugaji na wakulima Mei mosi 2026