Eldad Mark Ruzyory

@eldadmark

Film Director. Content Producer. DoP. Nature lover. Adventure person. Profession: Film Maker
Followers
613
Following
880
Account Insight
Score
23.59%
Index
Health Rate
%
Users Ratio
1:1
Weeks posts
Very proud to announce my film 'Island of Hope' got nominated for Best Short Documentary at São Paulo Film Festival 🇧🇷, Replay International Film Festival 🇦🇹 and Burbank International Film Festival! 🇺🇸 Thanks to all the people who worked very hard on this and especially @ref_fm_online for making this project happen.
103 0
6 months ago
Ni heshima kubwa sana Kwangu kuwashukuru ndugu na marafiki zangu wote walio nipigia kura. Wengi nilikua siwajui kabisa lakini mlichukua muda wenu kunipigia Kura Kwangu huu ni ushindi mkubwa Sana. Ndugu yangu Emmanuel Kihaule uliupiga mwingi sana huko Ethiopia ulikua na majukumu mengi sana lakini ulinipa nafasi na muda wako ukashirikisha watanzania diaspora magroup mengi hakika moyo wako Mungu akutunze sana. Ni wengi mno mlinisaidia wengi Sana siwezi wataja wote hapa ila katika hili nimejifunza mambo makubwa 2. 1. Nitamsaidia mtu yoyote hata kama simjui kwa jambo lolote la manufaa. 2. Upendo ni kila kitu kwenye haya maisha. Le Pastor Danny Kyungay John Mtangoo Frank Aurelian Mbowe Paul Mafie Mch Simbeye Kings Goodluck Aloyce Mushi Keph G Mollel Jusline Marco ni wengi mno. Asanteni sana.
19 4
1 year ago
Island of Hope. In ukerewe, mwanza with 3 man crew, we crafted a short documentary about safety for people with albinism. Love and find your place in this world. Director @daanherter DoP @thomasfibbe Producer @captainsproductions @eldadmark
19 4
1 year ago
Napenda kuwashukuru wote walio shiriki Nani katika upigaji wa kura ili kuchukua kinyang'any'iro hiki. Hakika sisi ni washindi! Watanzania tumeshinda. Katika kuelekea red carpet tukutane Concourse Chatswood, NSW, Australia. Pia unaweza kuungana nasi online.
8 0
1 year ago
#storytelling #filmmaking
10 1
1 year ago
Ndugu zangu watanzania. Nawashukuru sana tena sana kwa masaa 24 tu tumeweza kupiga kura 5000 na kuvunja record. Wengi hatujuani lakini mko moyoni mwangu kabisa na Leo nimeona nguvu kubwa ya kuwa watanzania UPENDO. Naendelea kuwaomba mzidi kunipigia kura, mzidi kuwashirikisha wengine wapige kura zaidi. Siwezi kushinda bila kila mtanzania kunisaidia kupiga Kura. Mwisho thank you again, you all mean so much to me. Vote vote vote.... Usisahau kuthibitisha kura yako kwenye link itakayo tumwa kwenye email yako.
16 2
1 year ago
Ni furaha yangu kukukaribiisha kwenye upigaji Kura! Film yangu pekee kutoka Tanzania iko kwenye kinyang'any'iro cha kushinda tuzo. Nakuomba fuata link hii uweze kunipigia Kura. Kura moja Tu inahesabika kwa mtu mmoja. Ingia kwenye website, kisha utaona filter catalogue andika 2024, chini andika international documentaries, kisha andika Tanzania utaona documentary ya I CAN bonyeza neno I CAN kisha vote. Utatumiwa uthinitisho kwenye email yako hakikisha unathibitisha Kura yako kwenye email baada ya kuvote. Asante sana .au/FOA/films/3277.html
8 0
1 year ago
Ni shukurani zangu kwa mwenyezi Mungu kuniwezesha kufika hapa. Nimeganikiwa kuingia kwenye kinyang'any'iro hiki muhimu Sana. Nikiwa mtanzania pekee kuweza kutengeneza makala hii muhimu kwa watu wenye ulemavu na kuonesha uwezo wao katika kujenga jamii yetu. Ni maombi yangu ndugu zangu mtanipigia Kura ili kufanikiwa kushinda tuzo hii muhimu, Kwangu na kwa taifa letu. .au/ #storytelling #tanzaniaunforgettable #filmmaking
5 5
1 year ago
Telling African stories. #storytelling #filmmaking
16 0
1 year ago
Telling African stories. #filmmaking #storytelling
13 0
1 year ago
The art and the artist.
10 0
1 year ago
To all the mothers, grandmothers, stepmothers, and mother figures, thank you for your endless love and support. I honestly love you all
7 0
2 years ago