Kwa sasa Dr. Howo anapatikana WhatsApp Tu, hii ni kwa mawasiliano ya moja kwa moja na Daktari, lakini huduma nyingine zote zinaendelea kupatikana kwa namba za Sales.
Tukisema HATUBAHATISHI hivi ndivyo tunavyomaanisha🔥 Tuletee HOWO yako ikiwa na shida yeyote ile na tutairudisha kama ilivyokua mwanzo… WE TREAT HOWO IN ANY WAY📌
#drhowo #howotrucks #truckmaintenance