Kama jambo ufanyalo linazidi kuwa complex, usiliache ukenda kufanya lengine. Kwani kila uendeleavyo kulitekeleza jambo hilo dogo ndivyo linavyo zidi kuwa kubwa. #Kuwa_Mvumilivu #Tanzania_Ya_Kesho #Mwanza
Mtanzania kama unahitaji picha mbao clean na safi zenye quality ya juu chilno hili hapa ndani ya lake zone ni @multimotion_ultra_studio hawa jamaa hawaja wahi kushindwa hii kazi ๐ฅ๐ฅ๐๐ฝ๐๐ฝ
#picha_mbao
Mzaziiii kijiwe ni kimoja lake zone yote @multimotion_ultra_studio baba lao imetilia pande za Kitangiri madukaniโฆ wanangu msiniangushe, pale kazi zimenyooka kuzidi maelezo. Picha na mavideo makali hadi mtu anaacha chenchi kama tips ๐๐ฅ๐ฅ