Watu wengi wamepoteza imani yao kwa Mungu enti sababu ya kusalitiwa, mahusiano) kiuchumi, kutengwa, Nataka nikwambie kumbuka kabla ya kuanza safari ya mahusiano tambua wewe ulikuwepo.na uliishi vizuri pasipo yeye mimi huwa naita ni ufala ulimbukeni mkubwa kuyumba kifikila au kiimani sababu ya mapenzi wanaume mnakwama wapi?? Anaye kupenda atakupenda tu hata umfanyie nini na asiye kupenda hato kupenda kamwe kaa ukijua hilo.