John

@creativekido

🎥 Bringing Ideas to Life. Video Editor | Professional Live Streaming For Brands • Companies • Organizations 📩Inquiries & Bookings Open
Followers
1,828
Following
378
Account Insight
Score
27.89%
Index
Health Rate
%
Users Ratio
5:1
Weeks posts
Highlights recap from the last event at DTB Centre. Moments, conversations, and connections — all in one place. #eventrecap #dtbcentre #Videography #corporateevents #daressalaam🇹🇿
0 4
3 days ago
Kuna muda kama creative unafika location ukiwa na plan moja… halafu reality inabadilika kila kitu. 😅 Nilipewa taarifa kuwa event itachukua kama masaa mawili, hivyo nikabeba lightweight setup yangu ya DJI Osmo Pocket 3 nikijua mazingira ya mchana hadi jioni yatakuwa smooth kabisa. Lakini baada ya kufika ndipo nikajua event ingeendelea hadi usiku. Nikawa nashoot 1080p ili ku-manage storage na workflow vizuri, huku nikikabiliana na changamoto ya low light ambayo Osmo Pocket 3 huwa nayo kwenye mazingira ya usiku. Kwenye editing ndipo kazi halisi ilipoanzia — nikatumia halation, nikachanganya na grain kidogo ili kuipa mood na cinematic texture iliyoficha limitations za mazingira na setup. Mwisho wa siku, creativity sio kuwa na perfect conditions kila time… ni uwezo wa kufanya kilichopo kionekane bora.
0 2
11 days ago
HABARIIII.. Je, unahitaji kukuza biashara yako kidigitali? Tunatoa huduma za kisasa za: ✨ Digital Marketing ✨ Graphic Design ✨ Branding ✨ Social Media Management ✨ Video & Creative Content Production Tunafanya kazi kwa ubunifu, ubora na matokeo yanayoonekana! Karibu tufanye biashara pamoja na tuipeleke brand yako hatua nyingine 🚀🔥 📞 Mawasiliano: 0689430743 📩 Tupo tayari kukuhudumia muda wowote. #TripodCreativeAgency #DigitalMarketing #Branding #CreativeDesign #BusinessGrowth SocialMediaMarketing
64 3
11 days ago
Every frame tells something.
25 8
19 days ago
Moja ya kati event kubwa ilifanywa na mtumishi wa Mungu @pastor_roseshaboka ya Women OF FIRE ambapo mimi nilikuwepo upande technical naku operate gimbal rs3 pro combo na sony a7iv sigma lens 30mm. One of the best historical event ya mwezi march 2026 Picture captured by @actrosmedia
43 6
1 month ago
RAISING KINGS | KONGAMANO LA WANAUME NA WATOTO WA KIUME @geraldjacksontz
47 5
1 month ago
Raising Kings | Kongamano La Wanaume 2026 @geraldjacksontz CREW @creativekido @v_prodirector @moses_picture1 @mpondamsafiri78
152 11
1 month ago
Capturing the moment
21 11
1 month ago
68 11
1 month ago
Client alitaka msiba uwe livestreamed kutokea nyumbani hadi makaburini wanapozika bila kukata. Namshukuru Mungu plan niliyoipanga ikafanikiwa kwa asilimia 97% maana video mixer ilikufa multview ikabidi tuwasiliane kwa intercoms. Umeme nilikuwa natumia powerstation kuwasha video mixer, kucharge betri za camera, intercoms na kucharge laptop. Gari ilibidi nitumie badala van kutokana na bajeti. Next project i will do more than this🙏🏾
91 38
3 months ago
Colorgrading sio kuweka rangi na kuongeza uzuri ila ni kuipa hadithi uhai
0 0
3 months ago