COPRA inasimamia mnyororo wa thamani wa nafaka na mazao mchanganyiko kwa usalama wa chakula.
๐๐ก๐ข๐ซ๐ข๐ค๐ข๐ฌ๐ก๐ | ๐๐จ๐ซ๐๐ฌ๐ก๐ | ๐๐ง๐๐๐ฅ๐๐ณ๐
๐ ๐ฎ๐ซ๐ฌ๐ ๐ฒ๐ ๐๐จ๐ค๐จ - ๐๐๐ฉ๐๐ง
Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) inapenda kuwataarifu wadau wa biashara ya maharage kuhusu uwepo wa fursa ya soko la maharage nchini Japan
Kampuni, vikundi na wafanyabiashara wenye uwezo wa kuuza maharage wanakaribishwa kuwasilisha taarifa zao kupitia:
barua pepe: [email protected]
Taarifa zitakazowasilishwa zijumuishe:
โ๏ธ Wasifu wa biashara/kampuni
โ๏ธ Aina ya maharage unayouza kwa sasa
โ๏ธ Kiasi cha maharage unachouza au kusambaza
โ๏ธ Masoko wanayohudumia kwa sasa
Lengo ni kutambua wadau wenye uwezo wa kunufaika na fursa hii ya soko la kimataifa na kuwaunganisha na fursa hii.
๐๐จ๐๐ก๐ญ๐ ๐๐จ๐ง๐จ๐ ๐๐๐ ๐ ๐๐จ๐ ๐ข ๐ช๐ ๐ง๐๐ก๐๐ฆ๐ช๐ฆ
Maombi yote ya vibali vya kusafirisha shehena za Nafaka na Mazao Mchanganyiko yatafanika kupitia mfumo wa TANESWS.
๐๐๐ฐ ๐ฆ๐๐ซ๐ค๐๐ญ ๐จ๐ฉ๐ฉ๐จ๐ซ๐ญ๐ฎ๐ง๐ข๐ญ๐ข๐๐ฌ ๐๐ซ๐ ๐จ๐ฉ๐๐ง๐ข๐ง๐
๐๐จ๐ซ ๐๐๐ง๐ณ๐๐ง๐ข๐๐ง ๐๐ ๐ซ๐ข๐๐ฎ๐ฅ๐ญ๐ฎ๐ซ๐๐ฅ ๐ฉ๐ซ๐จ๐๐ฎ๐๐ญ๐ฌ ๐ข๐ง ๐๐ก๐ข๐ง๐
๐น๐ฟ๐๐จ๐ณ
Through the GACC registration process, Tanzania is
strengthening agricultural trade, export readiness, and
global competitiveness by enabling local companies to
access the Chinese market.
Current, eligible agricultural products include:
โ Avocados
โ Sesame
โ Coffee
โ Cashew
โ Soybeans
โ Cocoa
โ Cassava
โ Cloves
and cottonseed & sunflower by-products.
Agricultural stakeholders and exporters are encouraged
to take advantage of this opportunity to expand
Tanzaniaโs presence in China market.
Toll Freeโ๏ธ 0733 800 200
New application sent via: [email protected]
๐๐๐ฐ ๐ฆ๐๐ซ๐ค๐๐ญ ๐จ๐ฉ๐ฉ๐จ๐ซ๐ญ๐ฎ๐ง๐ข๐ญ๐ข๐๐ฌ ๐๐ซ๐ ๐จ๐ฉ๐๐ง๐ข๐ง๐ ๐๐จ๐ซ ๐๐๐ง๐ณ๐๐ง๐ข๐๐ง ๐๐ ๐ซ๐ข๐๐ฎ๐ฅ๐ญ๐ฎ๐ซ๐๐ฅ ๐ฉ๐ซ๐จ๐๐ฎ๐๐ญ๐ฌ ๐ข๐ง ๐๐ก๐ข๐ง๐ ๐น๐ฟ๐๐จ๐ณ
Through the GACC registration process, Tanzania is strengthening agricultural trade, export readiness, and global competitiveness by enabling local companies to access the Chinese market.
Current, eligible agricultural products include:
โ Avocados
โ Sesame
โ Coffee
โ Cashew
โ Soybeans
โ Cocoa
โ Cassava
โ Cloves
and cottonseed & sunflower by-products.
Agricultural stakeholders and exporters are encouraged to take advantage of this opportunity to expand Tanzaniaโs presence in China market.
Toll Freeโ๏ธ 0733 800 200
New application sent via: [email protected]
๐ช๐ถ๐ท๐น๐จ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐, ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Watumishi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA), wanaendelea na mafunzo maalum ya kujengewa uwezo kuhusu utekelezaji wa sheria, kanuni na mifumo ya udhibiti wa biashara ya nafaka na mazao mengine nchini.
Mafunzo hayo yanajikita katika kuimarisha uwezo wao kwenye maeneo muhimu ikiwemo:-
โ๏ธ Usimamizi wa masoko ya ndani na nje ya nchi
โ๏ธ Uzingatiaji wa sheria na taratibu za biashara kitaifa na kimataifa
โ๏ธ Uwezeshaji wa biashara na masoko
โ๏ธ Uzingatiaji wa viwango vya masoko ya kikanda na kimataifa
Programu hii inaunga mkono utekelezaji wa Mpango kabambe wa Kilimo wa mwaka 2050 (AMP 2050) kwa kuimarisha taasisi, mifumo ya biashara ya mazao na maendeleo ya sekta ya kilimo nchini.
Mafunzo haya yamefadhiliwa na @agra_africa na kuratibiwa na Agricultural Transformation Office Tanzania (ATO Tanzania).
#COPRA #KilimoAMP2050 #AGRA #ATOTanzania #UsalamaWaChakula #tanzaniaagribusiness #malishambani #masokoyamazao
๐ฆ๐ฒ๐ฟ๐ถ๐ธ๐ฎ๐น๐ถ ๐ฌ๐ฎ๐ต๐ถ๐บ๐ถ๐๐ฎ ๐จ๐น๐ถ๐ป๐๐ถ ๐๐ฎ ๐๐ณ๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐ ๐ถ๐บ๐ฒ๐ฎ ๐๐๐ถ๐บ๐ฎ๐ฟ๐ถ๐๐ต๐ฎ ๐จ๐๐ฎ๐น๐ฎ๐บ๐ฎ ๐๐ฎ ๐๐ถ๐ฎ๐๐ต๐ฎ๐ฟ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ ๐ฎ๐๐ฎ๐ผ
Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. David Silinde (Mb), amesema ulinzi wa afya ya mimea una nafasi muhimu katika kuimarisha usalama wa chakula, kuongeza ushindani wa mazao ya Tanzania kibiashara kwenye masoko ya kikanda na kimataifa.
COPRA imeshiriki Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Afya ya Mimea yaliyofanyika Dodoma kama sehemu ya kuendeleza na kuimarisha ushirikiano na taasisi mbalimbali katika kusimamia biashara ya mazao inayozingatia viwango, ubora na mifumo rasmi ya biashara.
Kupitia ushirikiano huu, Tanzania inaimarisha uaminifu wa mazao yake kwenye masoko, kulinda maslahi ya wadau kwenye mnyororo wa thamani wa mazao na kuendeleza mikakati ya Taifa ya kujenga sekta ya kilimo yenye ushindani, tija na biashara salama ya mazao.
๐๐๐ง๐ณ๐๐ง๐ข๐, ๐๐ ๐๐ ๐๐๐ฃ๐๐๐ข๐ฅ๐ข ๐๐ฎ๐ข๐ฆ๐๐ซ๐ข๐ฌ๐ก๐ ๐๐ข๐ฅ๐ข๐ฆ๐จ ๐๐ข๐ฆ๐ข๐ฅ๐ข๐ฏ๐ฎ ๐ง๐ ๐๐ข๐ฅ๐ข๐ฆ๐จ ๐๐ข๐๐ฌ๐ก๐๐ซ๐
WAZIRI MKUU wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amekutana na Rais wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Alvaro Lario, jijini Nairobi nchini Kenya, kujadili maeneo ya ushirikiano katika maendeleo ya sekta ya kilimo na uwezeshaji wa wananchi kiuchumi.
Katika kikao hicho kilichohudhuriwa pia na Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli, viongozi hao walijadili mikakati ya kuendeleza kilimo himilivu cha tabianchi, kuimarisha kilimo biashara, pamoja na kuongeza matumizi ya teknolojia na mifumo ya kidijitali katika sekta ya kilimo.
Aidha, mazungumzo hayo yaligusia umuhimu wa kuongeza ushiriki wa vijana na wanawake katika shughuli za uzalishaji na biashara ya mazao ili kuchochea ukuaji wa uchumi jumuishi na maendeleo endelevu vijijini.
Ushirikiano kati ya Tanzania na IFAD umeendelea kuwa sehemu muhimu ya juhudi za kuimarisha tija, ushindani na upatikanaji wa masoko katika sekta ya kilimo nchini.
๐๐๐ข ๐๐ง๐ณ๐ข๐ ๐ฒ๐ ๐๐๐ซ๐๐๐ก๐ข๐๐ก๐ข
๐๐ฆ๐๐ญ๐จ๐ฅ๐๐ฐ๐ ๐ญ๐๐ซ๐๐ก๐ ๐๐ ๐๐๐ข ๐๐๐๐
๐๐ข๐ค๐จ๐ ๐ฒ๐ ๐๐๐๐ฒ๐, ๐๐ซ๐ข๐ง๐ ๐, ๐๐ฃ๐จ๐ฆ๐๐ ๐ง๐ ๐๐จ๐ง๐ ๐ฐ๐
Hass Sh. 1,500/Kg
Fuerte Sh. 800/Kg
๐๐ข๐ค๐จ๐ ๐๐ข๐ง๐ ๐ข๐ง๐
Hass Sh. 1,200/Kg
Fuerte Sh. 800/Kg
๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Mikoa ya Mbeya, Iringa, Njombe na Songwe Sh. 650/Kg
Mikoa Mingine Sh. 400/Kg
๐๐๐๐๐๐:
Hizi ni bei anzia; muuzaji anaweza kuuza juu ya bei hizi kulingana na ushindani wa soko. Hata hivyo, hairuhusiwi kuuza chini ya bei hizi.
Mamlaka itaendelea kutoa bei anzia kwa kuzingatia mwenendo wa soko.
๐๐ ๐ฎ๐ง๐ ๐-๐๐๐๐จ๐ซ๐, tukutane Sokoni kidijitali!
Round nyingine ya mnada wa mauzo ya ufuta kidijitali inakuja, ikileta pamoja wakulima, wanunuzi na wadau wa biashara katika ushindani wa haki na fursa zaidi za soko.
Songwe. Tabasamu na matumaini vimeanza kuonekana kwa wakulima wa zao la ufuta katika Wilaya ya Momba, mkoani Songwe, kufuatia kufanyika kwa mafanikio mnada wa kwanza wa zao hilo kupitia mfumo wa soko la kidijitali.
Kwenye mnada huo wa kwanza katika Wilaya ya Momba ambao umefanyika Mei 9, 2026, jumla ya tani 928 za ufuta zimefikishwa sokoni na kuuzwa zote.
Bei iliyopatikana pia imepokewa vyema na wakulima, bei ya juu ikiwa Sh2,740 na ya chini Sh2,655 na hivyo kupata wastani wa Sh2714.90 kwa kilo moja.
Kwa upande wa wakulima, mnada huo umeonekana kuwa mwanzo wa mabadiliko makubwa katika biashara ya ufuta.
Jumapili Daud, mkulima wa zao hilo katika Wilaya ya Momba, amesema wameridhishwa na bei zilizopatikana kulingana na mwenendo wa hali ya soko ilivyo hivi sasa.
Ofisa Mwandamizi wa Soko la Bidhaa Tanzania (TMX), Justa Martini amesema zaidi ya kampuni 10 zimeshiriki katika mnada huo na kuonyesha ushindani mkubwa wa ununuzi wa zao hilo.
Kwa upande wake Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano ya Umma na Mawasiliano wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko, Theresia Christian amesema mnada huo umeonyesha namna ambavyo teknolojia ya kidijitali inaweza kuwaleta pamoja wakulima na wanunuzi kwa uwazi zaidi.
โVideo kamili ipo Youtube channel ya MWANANCHI DIGITAL.
#mwananchiupdates
#tunaliwezeshataifa
โWakulima wa zao la ufuta wilaya ya Momba wameridhia kuuza ufuta wao Kwa bei ya Sh2,714.90 katika mnada wa kwanza wa kidigitali uliofanyika leo Mei 9, 2026.
โ
โMwenyekiti wa Chama Kikuu cha Ushirika Mkoa wa Songwe (SORECU LTD), Daniel Shija Msyaliha amesema kuwa wastani wa bei ya juu katika mnada huo ilikuwa Sh2,740 na ya chini ni Sh2,655.
โ
โBaada ya kukamilika kwa mnada huo , wakulima walifanya maamuzi kwa aliridhia kuuza ufuta wao kwa bei ya Sh. 2714.90.