@nsuripharmacy_tz
Tunapatikana kila mahali!
Huna haja ya kutafuta sana. Ingia Pharmacy yoyote karibu nawe na Uliza tu Comfymum Maternity Pants.
Pata Ulinzi Kamili Sasa!
🔴COMFY MUM MARTENITY PANT NOW AVAILABLE IN ALL PHARMACIES AND MARTENITY STORE
NI SIKU YA FURAHA KWA TEAM NZIMA YA COMFY KUJUMUIKA NA WAMAMA WALIOTOKA KUJIFUNGUA KATIKA HOSPITAL YA MNAZI MMOJA
TUMEWEZA KUWAPONGEZA KWA USHUJUAA WAO WA KUJIFUNGUA SALAMA KWA BIDHAA YA COMFY MUM MARTENITY PANT
CC @beyanca25
Cc @mnazi mmoja hospital
Cc @comfymum_
Comfort that moves with you. Protection you can trust. Comfy mum Maternity pants for today’s strong woman
Now is available in all supermarkets, pharmacy and maternity store
@comfymum_@comfymum_
#easymotherhood #comfymummaternitypantpads #tanzania #sanitarypads
Sikiliza kwa umakini hii video mpaka mwisho. 🎥✨
Pedi chupi zetu sasa zinapatikana kila kona ya Tanzania 🇹🇿
Quality na comfort vinaendana kabisa na bei yake. 💯
Kuna baadhi ya watu wana complain kuhusu bei ya Pedi Chupi zetu, lakini trust me — bei na quality vinaendana. 👍
Usikubali kuvutiwa na bei ndogo halafu ukaishia kupata matatizo kama fungus na maambukizi mengine.
Afya na comfort yako vina thamani zaidi. 💯
Zinapatikana @dm_super_market_backery
Hii ni Portable Bottle Warmer yenye ubora wa hali ya juu.
Sifa zake kuu ni:
• Portable – rahisi kubeba popote ulipo.
• Wireless – inatumika bila waya kwa urahisi zaidi.
• Inapasha maziwa haraka – kuhakikisha mtoto hapati kusubiri muda mrefu.
• Smart temperature detection – inaweza kudetect kiwango sahihi cha joto na kuzuia maziwa yasiwe moto kupita kiasi.
Perfect for moms on the go ✨
Happy Mother’s Day to all incredible mothers and mothers-to-be from ComfyMum 🌸🤍
Today we celebrate your strength, love, sacrifices, and the beautiful journey of motherhood. Thank you for being the heart of every family and the light of every home.
Stay strong, stay comfortable, stay beautiful — because every mom deserves the best. 💕
Siku hizi chagua comfort na confidence kwanza.
tumia chupi Pedi za comfymum— zinakaa muda mrefu, zinafyonza vizuri, na zinakufanya ujisikie comfortable kabisa siku nzima bila stress. ✨
Hakuna siri ya kuwa comfortable kwenye mazoezi ya fitness/gym hata ukiwa kwenye zile siku zako 🤸♀️🏋️♀️🔥
Usikubali period ikuzuie kufanya workout zako!
Suluhisho ni moja tu 👉 Comfymum Maternity Pants / Chupi Pedi
✔️ Hakuna leakage
✔️ Inakupa comfort ya hali ya juu
✔️ Unafanya mazoezi bila wasiwasi
✔️ Confidence yako inabaki palepale
Hakuna kuquit mwanadada 💪
Gym inaendelea kama kawaida, hata ukiwa kwenye zile siku zako ❤️🔥
@kinyerezi_fitness_gym