Grateful for the opportunity to meet and connect with the cabinet and leadership of @marstanzania alongside @hisenseza@tah_karim . A powerful step towards innovation, growth, and impactful collaboration. The future is bright 🤝 •
Management represented by @consoleyt_amas .
#mrdeals #hisense #innovation #growth collaboration
Leo kwa fahari kubwa nipende kuitambulisha familia yangu mpya nikiwa kama Balozi wa Brand ya Hisense Tanzania.
Hii siyo partnership ya kawaida — ni ahadi ya kuwaletea ubora, ubunifu, na maisha ya kisasa zaidi.
Kuanzia leo, tegemeeni vitu vikubwa na vizuri zaidi kutoka kwangu. Huu ni mwanzo tu, mambo makubwa zaidi kutoka kwangu na Hisense yanakuja.
Nipende kuwaomba kua msiache kufollow page za #HisenseTanzania @tah_karim , kwa sababu kuna mazuri mengi yanakuja kwaajili yetu.
#Hisense #NewJourney #SmartLife #SmartLiving
Je Wewe ni Mwimbaji, Mwanamazingaumbwe, Dancer Au Mwanasarakasi?
Ondoa Shaka, Hata Kama Hakijatajwa Kipaji Ulichonacho Hil Inakuhusu Pia.
EACLC Tumewaletea Fursa Ya Kuonesha Kipaji
Ulichonacho Huku Ukionekana Mubashara Katika
BIG SCREEN yetu kubwa na ya kisasa iliyopo mbele ya jengo letu la EACLC.
Mbali Na Kuonekana Tu Mubashara Katika Big
Screen, Pia Fursa Hil Imeambatana Na Zawadi Kem Kem kwa atayekidhi vigezo tajwa katika video hii.
Jivunie ulichonacho, Onesha Ulichonacho,Tamba Na Faidika na ulichonacho ndani ya EACLC!!
Kwa Maelezo Zaidi Tupigie Kwa Namba:
0753669724
#eaclc #daressalaam #tanzania #ubungo
#globaltrade
EPISODE ONE ya Road to worldCup 🏆 na Kapu la Mr.cheeeki! Kutoka #HISENSE •
Cha kufanya Follow my Page @chamack99_ &
@marshisensetz .
Tags / Mentions your Five Friends hapa uweze kujishindia kati ya zawadi hizi na zawadi kubwa itatambulishwa hivi karibuni •
🎥 @visualbyfranco
#marscommunicationsltd #hisense #Mrdeals
#wowrdlcup2026
Road to worldCup 🏆 na Kapu la Mr.cheeeki! Kutoka #HISENSE •
Cha kufanya Follow my Page @chamack99_ &
@marshisensetz .
Tags / Mentions your Five Friends hapa uweze kujishiandia kayi ya zawadi hizi na zawadi kubwa zaidi itatambulishwa
#marscommunicationsltd #hisense #Mrdeals
#wordlcup2026
Kupitia @mogo_simu.tz inakuwezesha kupata smartphone yako kirahisi zaidi na unaweza kulipia kidog kidogo m. Wewe mwenyewe unajipangia kwa uwezo wako kulipa kwa awamu ya 6,9 hadi12!
Vigezo vya kujipatia simu ni uwe tu na NIDA na Umri kuanzia miaka 21 mpaka 65 na kianzio kidogo tu.
Tembelea mawakala wetu popote pale Dar es salaam na ulizia Mogo Ujipatie simu janja.
Namna ya kulipia kidogo kidogo ni kupiga
*149*46*24# kisha fuata maelekezo
#mogotanzania #smartphonenimchongon•
Hii ndio shida kudet ovyo , yashanikuta nimeahidi namkopea simu mwingine kutoka @mogo_simu.tz nimekuja kuonga kwingine sijui itakuaje •
Jamani Kumiliki smartphone sasa hivi, sio lazima uwe na kibundaa, @mogo_simu.tz wanakuletea mchongo. tembelea mawakala wao hapa DSM yote ukiwa na kitambulisho chako na Kiasi kidogo tu cha kianzio na utajipatia Smartphone kama vile Infinix, Itel, Tecno au Oppo kali kabisa huku ukirejesha kiasi kilichosalia kwa muda wa miezi 6, 9 au 12.
#MogoTanzania #SmartPhoneNiMchongo •