BaRiKi MuZiKi Na KaZi Ya MiKoNo yaNGu BaBa,
BaRiKi Na Hela Nayoipata iSiWe NDio yaNGu LaaNa,
By....@chaba009 #BaRaKateNa #UKuRaSAMPya
#009wakilisha2026
📷 @icon_picx
Hii Ni Kwa Kila FaZa Wa BOoo...Aka WaZEe Wa BoMa! ENDeeNi KuKaZa, SiSi NDio ViCHWa vya Familia, SiMaMa JUu PaMBaNia KoMBe MWaa Mwii!! ✊🏾✊🏾💪🏾💪🏾📌📌👑👑
📽 @director_okey
#009wakilisha2026 #UKuRaSAMPya
WaKati TuKieNDelea KuSHeRehekea Wiki Ya Mama DuNiaNi, Hii Hapa Performance KiDoGo ya #MamaNiSHuJAa Kwenye UziNDuZi Wa #UKuRaSAMPya Kwa HeSHiMa!
#009wakilisha2026
📽 @director_okey
UsiKu Wa KiHiStoRia Kwenye HipHop Tanzania NiliPoWaNGuLia WaPeNZi wa Muziki Arusha #UKuRaSAMPya Pale @af_arusha (Alliance Français Arusha)
BADo NaWaSHuKuRu Wote Mliokuja Kwa LuGHa Zote! MlioKosa Next tiMe MsiFaNye KoSa!
#009wakilisha2026
Usiku Wa Kukumbukwa Kwenye Historia ya HipHop Na Muziki Wa Rap #Arusha UziNDuZi Wa Album ya #UKuRaSAMPya ya @Chaba009@af_arusha (Alliance Français Arusha)
#009wakilisha2026
009 Was in the House USiKu Wa #UKuRaSAMPya
#TaiRex009 Alinata Na Biti La LiVe BaND NouMa!
#Thom009 Coolest Kid in the House...!
#009wakilisha2026 #Party
Highlights Za Usiku Wa UziNDuZi Wa Albamu ya #UKuRaSAMPya 2026 @af_arusha (Alliance Français Arusha) By #Chaba009
Video By @director_okey
#009wakilisha2026
NiKiANza KuBoNGa, BaRaKa Za MuNGu Si Mlima KitoNGa,
ZiNaPita URefu Wa EVarest Na Kilimanjaro, Na Akizitoa ZiMestawi MPaka Shetani Anasema Halo,....! (Hi!)
Kwa Kila Alishiriki Nasi Tarehe 8 Kuufungua UKuRaSA MPya, BaRaKa tena Zimjae toka Kwa Baba MuNGu!
#UKuRaSAMPya #009wakilisha2026
📽 @director_okey