Baadhi ya maandalizi yaliyofanyika katika siku ya Filamu Live Jumamosi 🎬✨
Kila kitu kilikuwa kikiandaliwa kwa ajili ya kuhakikisha hadhira mnakuwa kwenye mazingira mazuri ya kuburudika, kufurahia na kuipokea filamu yetu ya nyumbani ya “CHIPSI KUKU” kwa utofauti zaidi. @ajabuajabu@airscreen
📸 @briatigh
The AIRSCREEN® headquarters in Münster Germany. Come by, have a coffee with us and visit our showroom. Experience the AIRSCREEN® quality - for more than 30 years, loved in 135+ countries of this planet.
Color your life with outdoor movies. Find the world of open-air-cinema here: #cinepicnic #airscreen #openaircinema #outdoorcinema #outdoormovies @cinepicnic