ET TUACHIEEE?????? Ni Ep ya nyimbo 6 clip zimeanza kutoka. Nataka nione watu wanapokeaje then tuweze kuachia. Usiishie kulike tu dondosha makoment apo. Support yako ndio kil a kitu kwangu. Ni follow Instagram,youtube,tiktok na kwingine kote kama Audiomark, Boomplay. Wananiita ADAONCE. Ukiandika hivo. Utaniona. Asanteni.
Nimejikuta❤️❤️❤️ nampost @fayrah09 .sijamfuatilia kwakina nimeona nyimbo hii tu, nyimbo imenibamba sana, naisikiliza kila mala.sauti nzuri kabisa lakin pia Sura yake nivideo tosha. Hata video yanyimbo hii niyeye tu haina mambo mengi.
Ngoma kama hizi huwez kuzipata kwa wasanii wakubwa sana, hawa bado vichwa vinachangamka kwahio nikutoa support maisha yasonge, na pia nimpongeze producer kagonga vinanda vya kihind humo, bit imetulia kinoma. Nawishi siku moja nimuone huyo producer tufanye jambo. Hongera fayrah unajua.
Je angekuwa alajiga angeqeka penalt kwa muda ule??? Kunamengi ajifunze, kwanza unapogawa kadi mapema unaharibu comfortability ya mchezaji, simanishi isotoe kadi ila kunamakosa mengine niyakuelekezana. Nani unasikia anamlaumu sana kocha. Yuko crear kabisa. Ushabiki mwe mnaacha mnachezesha mpira.