~(F-O-F ( FAITH OVER FEAR) ~
Hii ni familia mpya iliyounganishwa na IMANI, tukiwa na dhamira moja: Kulipeleka neno la KRISTO kwa vijana na kila kizazi kupitia miondoko ya Rap. Hatuji kwa WOGA, tunakuja na MAMLAKA!
Kwa mara ya kwanza kabisa, tunakutanisha nguvu ya @Papafau60 na @Comfort , tukisindikizwa na sauti ya dhahabu ya mwanadada nguli kwenye R&B @_Its_fee kwenye project yetu hii ya kwanza kabisa inayoitwa #HEKALU.
OMBI LETU KWENU WANA FAMILIA:
Hii safari ni yetu sote. Tunaomba mtupokee, mbebe huu mwito, na kutusupport kwa hali na mali. Huu ni mwanzo wa mapinduzi ya kiroho kwenye Gospel Rap namaisha kwaujumla,
make sure 👇🏾 SUBSCRIBE (YouTube yetu)
💬 COMMENT (Tupe maoni yako)
🚀 SHARE (Sambaza injili hii kwa wengine
🕣8pmAaEAT
Link kwenye Bio 👇🏾
.
.
@papafau60
comfortezekiel
@_its_fee@abbsissargrapher@mr.drone@Ellybeatz@Yoh_Rashy@Visuals_boy
.
.
.
#FOF #FaithOverFear #HEKALU #FOFFamily #PapaFau60 #Comfort #FEE #GospelHipHop #TanzaniaGospel
F E E | E E F
~ Eternal & Everlasting Freedom.
See you soon my LOVES❤️
Nna vilio kutoka kwenye vina vya ubunifu wangu na nina shangwe kwenye mawimbi ya sauti yangu. TY🇹🇿
#fyp #today #tanzania