Mechi ya Hisani kuwasaidia wasio jiweza kati ya Team Agogo vs Team Manula
Utakao fanyika Mbagala katika uwanja wa Majimatitu shule.. Tarehe 10/8/2025 Saa 10 kamili Jioni.
Kwa mawasiliano ukihitaji kungana na vijana kuwasaidia wasio jiweza namba za Sm 0773203712, 0692929379 na 067077181.
@tanfootball@sokayouths_tv