Love season isn’t over yet… ‘Valentine’s’ out this Friday 🩷
Todavía no se ha acabado la temporada del amor… ‘Valentine’s’ disponible este Viernes 🩷
Produced and mixed by @itstannergard
SAIKOLOJIA YAKO – AKILI YAKO
Unapitia: ✔ Msongo wa mawazo ✔ Hofu isiyoisha ✔ Huzuni ya muda mrefu ✔ Kukosa usingizi ✔ Kujihisi na kuwa Mpweke ✔ Kuchoka bila sababu ✔ Kukosa utulivu ✔ Kutokua na hisia ✔ Panic Attack ✔ Hasira au uchokozi ✔ Mawazo ya kujiumiza au kujiua ✔ Kujitenga au kuepuka watu ✔ Kutokuamini na Kutojiamini ✔ Kuongezeka kwa matumizi ya vilevi/dawa ✔ Kutojithamini ✔ Kutaka kufanya kisasi au kijihisi ✔ Work burn out ✔ Low Self-Esteem and confidence
🧸
Hauko peke yako - Hizi ni dalili zinazoweza kuashiria changamoto za kisaikolojia na afya ya akili– na msaada upo.
Saikolojia Tiba inapatikana kwa:
✔ Sonona (Depression) ✔ Wasiwasi (Anxiety) ✔ Msongo wa mawazo (Stress) ✔ Talaka au kutengana ✔ Changamoto kazini ✔ Mahusiano/ndoa ✔ Addiction ya ponografia au kujichua ✔ TRAUMA ✔ Bipolar (Hisia Mseto) ✔ Addiction ya simu na mitandao ya kijamii ✔ PTSD ✔ Tatizo la hasira (Aggression)
Njoo utoe machungu na maumivu uliyonayo kwa muda mrefu na uishi kwa uhuru.
Saikolojia Tiba na Nasihi zinasaidia.
DM iko wazi – tuchati, tuanze safari ya uponyaji pamoja.
👌
Huduma ni kwa gharama nafuu tu.