3 days ago
Baadhi ya Marubani pamoja na Wahudumu wa Ndani ya Ndege wa Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) wakifuatilia uwasilishaji wa Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2026/2027, uliowasilishwa bungeni na Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Prof. Makame Mbarawa, leo tarehe 13 Mei 2026.
Some of Air Tanzania's pilots and cabin crew, following the presentation of the Ministry of Transport Budget for the 2026/2027 financial year, tabled in Parliament by the Minister for Transport, Hon. Prof. Makame Mbarawa, today, 13 May 2026.
#FlyAirTanzania #AirTanzania
2,103
29
Just sawa My Girl @nita_robert I am screaming ❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌
2 days ago
My gal @jadeivy1208 bravoooo much lov & much appreciation 🫡😍🔥👏❤️
2 days ago
🇹🇿💯🫶✨️✨️
2 days ago
Mara moja moja muwe mnawapeleka ma-technician nao bungeni they keep the sky safe…. @airtanzania_atcl
1 day ago
Simuoni rubani boimtoto
1 day ago
Hivi Rwandair @flyrwandair au Kenya Airways @officialkenyaairways huwa wanaendaga kama hivi?
1 day ago
Ona na makomwe yenu, mmnatutengenezea hasara kampuni yetu na Taifa kwa ujumla amafu still mmnaenda kujambia viti vya bunge.. MATAKO YENU @airtanzania_atcl
12 hours ago